This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Wednesday, December 21, 2016

PANYA na FUKO SHAMBANI


JINSI YA KUPAMBANA na PANYA & FUKO SHAMBANI🐀 

🕳Kwanza kabisa tufaham kuwa PANYA na FUKO ni wanyama waharibifu sana shambani  kama walivyo wanyama wengne waharibuo mazao shambani..
    đŸ‰ Leo nimesikitika sana kuna rafki yang kakutana na changamoto ya panya kuharibu TIKITI lake shamban, tikiti ambalo limeshaanza kukomaa.
    đŸ€ Hivyo nikaona si vyema kama sinto-share nanyi kuwa ni jinsi gani ambavyo tunaweza kupambana na wanyama hawa waharibifu MAANA wengi mmekua mkihangaika kumalizana na hawa jamaa..Na hii ndiyo komesha yao, Twenden..!

CHANGANYA MCHANGANYIKO HUU VIZURI👇

  • Cement - 3kg
  • Unga wa ngano -1kg  
  • Dagaa waliosagwa -robo
  • Unga wa cocoa -vijiko 6
  • Chumvi laini -vijiko 10  

  ⚗ Mchanganyiko utategemea na ukubwa wa vita yako .Kisha nenda maeneo wanayopenda kushinda au ficho lao mwaga mchanganyiko huu  halfu pembeni weka maji ya kunywa. LAKINI pia si lazima kutafuta maficho yao we tandaza tu kuzunguka shamba lako.


INAFANYAJE KAZI?

Mchanganyiko huu ni mtamu sana kwa PANYA/FUKO ,baada ya kufurahia mlo huu panya atasikia kiu kali ataenda kunywa maji,lahaula! atakuwa amekamilisha mchanganyiko wa kutengeneza kitofari chakum'bana tumbo ambacho kitamuua..😫

Mchanganyiko huu unauwezo wa kuua PANYA au FUKO 1000 ndani ya siku 3.

ANGALIZO:Wapo watu wanaoshauri kuweka sumu zile za viwandan ..skatai zile ni sumu nzuri kwa kupambana na panya LAKINI tukumbuke kuwa kwa sumu zile panya akiwahi kunywa maji anaweza kuendelea kuishi, hvyo kwa shamban sidhan kama sumu zile zitaweza kufanya kazi vizuri kwan shambani tumezungukwa na visima vya maji, lakin kwa mchanganyiko huu panya anywe maji asinywe lazima chamoto akipate..tena akinywa maji ndio anazidi kutengeneza zege zuri tumboni.

HIVYO KWA WALE WAKULIMA na PIA WALE WANAOSUMBULIWA na Panya majumbani mchanganiko huu ndio kiboko yao..

✍ na Mtaalamu:🕵🏻A.Aldinah

Tuesday, November 22, 2016

KILIMO DIJITALI NA SHERIA ZAKE


Baada ya kuona taarifa na matangazo mengi yanayohusu faida za kilimo na uzuri wa kipato chake, nilitamani kupata kujua hasa mtu wa kawaida (kama mimi) nisiyekuwa na ujuzi katika kilimo ningeweza vipi kupata taarifa za jinsi gani nitaweza kujihusisha pia na kilimo. Kwa uzuri wa mitandao nikaona nisipoteze muda, nianze kujifunza yale niwezayo katika muda niliokuwa nao ili kama ikiwezekana nianze kujifunza kidogo kidogo.
Siku moja rafiki yangu (kutoka grupu moja la whatsap) alishea ishu moja na picha zinazohusiana na kilimo, na mimi bila kuzuga nikamuinboksi kumuulizia kama ana chochote angeweza nielekeza juu ya aina ya kilimo alichokuwa akikifanya. Naye hakuwa mchoyo, akaniomba tukuane ili anipe somo Zaidi.
Wiki iliyofuata nikajibeba na kumfuata katika ofisi yake moja iliyopo karibu kidogo ya katikati ya mji (Mwenge pale), nikakutana naye, tukapiga stori, na akanitisha vya kutosha juu ya makosa ambayo wakulima wengi wanaoanza na walio katika hali kama yangu hupitia ambayo mwishoni huwakosesha kiasi cha mazao na faida wanazozitegemea. Pia akaniasa kuwa kilimo ni MOYO na UTAYARI, sio kwamba element ya biashara, uongozi na faida havihusiki, ila Zaidi ni moyo wa uvumilivu na akili ya utayari wa kujifunza ndivyo humfanya mkulima awe bora na kumfanya apate matokeo anayostahili.
Pia rafiki yangu huyo aliyetoka kupata mazao mengi sana msimu ule aliniambia kuhusiana na kilimo dijitali na sharia zake ambazo wakulima wengi huzidharau na kuziona ni za kuzipuuza. Baadhi ya sharia hizo za kilimo dijitali ni;
  • Shamba halilimwi kwa simu
  • Kabla ya kugusa udongo ni muhimu kuufahamu, na kama ikiwezekana kuupima
  • Gharama nyingi za kwenye makaratasi SIO gharama halisi za ardhini
  • Jinsi ya kumroga mfanyakazi (kibarua wako) kidijitali
  • Ratiba nzima ya shambani, siku ya kwanza hadi ya mwisho.

·         Mengine mengi yanayokwenda mpaka maishani baada ya kutoka shambani

Mengi ya sharia hizi tutaendelea kushea kwa undani Kadri tunavyozidi kuingia kilimoni, ila kwa kuanzia hizi ndizo zilikuwa za muhimu zaidi